Katika kuendeleza vipaji vya vijana wetu wa tanzania, ar entertainment wana mazumuni ya kukuza vipaji vya vijana wetu ambao waishio tabata barakuda yote adi kutokea mto msimazi.
Ar company wanajitaidi kusambaza elimu ya muziki katika maeneo ya tabata barakuda,vingunguti,mistimuni,kitu kipya,karata dume,mabomba mawili, liwiti na sigara
Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kwa namba zifuatazo-0655272092 na kwa mawasiliano ya EMAIL caesarkhamisi@yahoo.com.
Na kwa ushilikiano na.......... ally bwinda a.k.a kittener
ramadhani khamisi a.k.a swaiba
abdul shomary monde a.k.a machejo
saidy shomary monde a.k.a young side

No comments:
Post a Comment