Friday, February 3, 2012

SWAIBA

     THE  SWAIBA COMPUTER  
             ENGINEERING








                                 TUPO   TABATA   BARRACUDA  
RAMADHANI KHAMISI a.k.a SWAIBA ni kijana wa kisasa ambae amemaliza elimuyake ya sekondari katika shue ya Majani ya chai iliyoko nyuma ya viwanda vya azam biskuti tawi la kipawa. SWAIBA ni lulu ya taifa kwani ni kijana mwenye uwezo wa  kuchezea komputa ya aina yoyote. Na malengo ya SWAIBA ni kuja kuwa professional HACKER tanzania na duniani kote. Hivi sasa anaishi na mjomba wake ambaye ni Shomary monde, na uhu ni ukoo maharufu sana apa dar es salaam ukoo wa MONDE.  Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kwa namba +225655272092
         SWAIBA ni kijana maharufu sana tabata barakuda  au ulizia mistimuni ambapo ni kalibu na kwao.....no one like Swaiba.        
                                                               email:caesarkhamisi@yahoo.com

1 comment:

LinkWithin

My Blog List

Total Pageviews